Monday, September 12, 2011

Mambo vipi ndugu jamaa na marafiki ambao ni wapenzi wa burudani wa hapa nchini Tanzania?
Bila wasiwasi nadhubutu kusema kwamba nyote mu wazima wa afya tele na wingi wa rehema za kwake Mwenyezi Mungu Ambaye anatufanya tunakutana tena hapa leo hii!!!!


Najua ni muda mwingi sasa hamjapata kuona update zozote ndani ya blog hii ya kijamii .................... baaaaaaaaaaaaaaaaaaasss!!
muda ndo huu sasa wa wewe kupata habari nzuri za kufurahisha kuburudisha na kukufanya mwenye aman muda wote mara tu utapowasili ndani ya blog hii ya kwako.

Kama nawe utapenda kushiriki kwa namna moja ama nyingine katika kuhakikisha tunatoa burudani ya uhakika tafadhali usisite kuwasiliana nami kupitia barua pepe yangu ya zadjone@yahoo.com

THANX MUCH YA ALL GUYZ!!!!!!
together we made it peoplezzzzz!!!

2 comments:

Anonymous said...

iko pouwaaaaaaaaaaaaa kinoumer budda

Anonymous said...

nimeipenda blog yako brother ila unatakiwa tu ku post habari motomoto ambazo zitatufanya tuzidi kutoa sapot kwako
naitwa JOHN MUSHI wa ARUSHA CHINI