Saturday, March 10, 2012
SALAMU KUTOKA MWANDISHI
Ni muda mrefu sasa umepita pasipo kujuliana hali na mambo mengine kama hayo' labda niseme tu yote kwa yote tuko pamoujah ni vile tu haya majukumu yanakua mengi sana ' waswahili waliwahi kutuambia maisha ni kutafuta na si kutafutana lakini pia kutafutana ni sehemu ya maisha nah mnaweza kutafutana kwa malengo mazuri tu ya kukuza na kujenga uchumi wa mtu binafsi pamoja na wa serikali kwa ujumla
Mara baada ya kuzungumza hayo labda niwashukuruni nyote kwa kuwa pamoujah' katika safari hii tuliyonayo ambayo hatujajua mwisho wa safari hiyo ni lini
ahsanten' kwa kuwa pamoujah' . . . 'dawg guy'z,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment